Michezo na utangamano miongoni mwa vijana udhibiti utumizi wa madawa haya
Tafiti zinaonyesha kuwa uboreshaji wa talanta kupitia kwa michezo na utangamano ni mojawapo ya njia mwafaka ya kuwaepusha vijana kutokana na visa vya matumizi ya madawa za kulevya pamoja na mimba za mapema. #KutokaMashinani #LookUPTVKE #LookUPTVNews
https://www.youtube.com/watch?v=t_7_xV6-IGo